Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN: Israel lazima iwajibishe kwa kushambulia mji wa Jenin

Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake juu ya operesheni za jeshi la Israel katika Ukingo wa Magharibi, ukiwemo mji wa Jenin.