Kamanda wa IRGC: Operesheni ya Ahadi ya Kweli III dhidi ya Israel itatekelezwa karibuni hivi

Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Iran “lazima iwe tayari kwa vita, ili kusiwepo na vita”.