Kamanda: Iran ina uwezo wa kupiga ngome za adui popote pale

Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema kwa mara nyingine tena kuwa, uwezo wa kijeshi wa Iran ni wa kipekee, huku akionya dhidi ya vitisho akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya mazungumzo na yoyote kuhusu maghala yake ya makombora.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *