Kagame akosoa kimya cha Magharibi kuhusu FDLR; aisuta Ubelgiji

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kueneza ‘simulizi potofu’ kwamba Kigali inawaunga mkono waasi wa M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *