Kadi nyingine nyekundu yatolewa kwa Israel; mara hii ni nchini Malaysia

Mashabiki wa soka wa Malaysia wamejiunga na kampeni ya ‘Show Israel Red Card’ yaani “Ionyeshe Israel Kadi Nyekundu” katika uuwanja wa soka ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa Palestina.