Kadi nyekundu yatolewa kwa Israel kwenye mechi kati ya Osasuna na Real Madrid

Mashabiki wa klabu ya Osasuna ya Uhispania wametoa wito wa kukomeshwa uhalifu wa utawala wa Israel huko Palestina katika mechi na mpira wa miguu iliyofanyika jana Jumamosi kati ya timu hiyo dhidi ya Real Madrid.