Kadhaa wauawa katika shambulio la droni kusini ya Sudan

Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa huku wengine wengine wakijeruhiwa, baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia hospitali moja katika mji wa El-Obeid, mji mkuu wa Jimbo la Kordofan Kaskazini kusini mwa Sudan jana Alkhamisi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *