Juni 15, michuano iliyosubiriwa kwa hamu ya Kombe la Dunia la Klabu itaanza rasmi nchini Marekani.
Saa 9:00 usiku kuamkia Jumapili ya Juni 15, Al Ahly mabingwa wa Misri kukipiga na Inter Miami
Saa 1:00 usiku mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, watacheza na Auckland City FC ambao ni mabingwa wa New Zealand.
Itakapofika saa 4:00 usiku, mabingwa wa Ulaya, PSG watapambana na wabishi Atletico Madrid pia kutoka Ulaya.
Kwa maoni yako ni timu gani itaanza kwa kupata ushindi?
Kifurushi cha shilingi 28,000 kinakuwezesha kutazama michuano hii na mambo mengine chungu tele.
#ClubWorldCup #Azamtvsports