Jumuiya za SADC na EAC zataka kusitishwa mapigano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya nchi za kusini mwa Afrika, SADC wametoa mwito wa kusitishwa mara moja mapigano mashariki mwa Jamhuuri ya Kidemokkrasia ya Congo.