Jumatano hii, Taifa Stars watakuwa dimbani wakicheza na Eswatini mchezo wa COSAFA kundi C

Jumatano hii, Taifa Stars watakuwa dimbani wakicheza na Eswatini mchezo wa COSAFA kundi C

Jumatano hii, Taifa Stars watakuwa dimbani wakicheza na Eswatini mchezo wa COSAFA kundi C.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#TaifaStars #Eswatini #COSAFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *