Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.