Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria amethibitisha habari ya kuwepo mazungumzo “yasiyo ya moja kwa moja” kati ya utawala huo na utawala wa Israel eti kwa lengo la kuzuia kile alichokiita mripuko usioweza kudhibitiwa wa hali ya mambo, wakati huu ambapo Tel Aviv inaendeleza uchokozi wa kijeshi usiokoma dhidi ya Syria.
Related Posts
Mawaziri wa mambo ya nje wa Misri na Kuwait wakaribisha mazungumzo kati ya Iran na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amezungumza na mawaziri wenzake wa Misri…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amezungumza na mawaziri wenzake wa Misri…
Mashambulizi ya anga ya US kwenye bandari ya mafuta ya Ras Isa, Yemen yaua watu 33
Jeshi la Marekani limeshambulia bandari ya mafuta ya Ras Isa magharibi mwa Yemen, na kuua makumi ya wafanyakazi na wahudumu…
Jeshi la Marekani limeshambulia bandari ya mafuta ya Ras Isa magharibi mwa Yemen, na kuua makumi ya wafanyakazi na wahudumu…
Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Gaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni…
Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni…