Joe Biden abainika kuwa na saratani ‘kali’ ya kibofu

Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden, 82, amebainika kuwa na saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake, taarifa kutoka ofisi yake ilisema Jumapili.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *