Jinsi ya kudhibiti hamu ya kahawa wakati wa mfungo wa Ramadhan

Mtaalam wa lishe anasema kuwa ni kosa kubwa kunywa kahawa pindi unapofungua saumu, na wakati muafaka wa kunywa kahawa wakati wa Ramadhan ni kusubiri hadi baada ya kufungua kwa kula.