Jinsi Wasomali wanavyokumbuka vita vya ‘Black Hawk Down’ miongo mitatu baadaye

Black Hawk Down’, ni jina la filamu ya Hollywood, limekuwa neno maarufu kwa maafa ya kijeshi ya 1993 nchini Somalia.