Jinsi wanawake hawa vikongwe walivyokabiliana na historia ya ukoloni na kushinda

Wanawake watano walioibiwa kutoka kwa familia zao wakiwa watoto kwa kuwa machotara walishinda kesi yao ya kisheria ya kulipwa fidia dhidi ya serikali ya Ubelgiji mnamo Desemba 2024. Huu ni uamuzi wa kihistoria ambao wataalamu sasa wanasema unaweza kusababisha fidia zaidi. Mmoja wao anazungumza na mwandishi wa BBC Kaine Pieri.