Jinsi wahamiaji wa Kiafrika wanavyoishi kwa hofu nchini Marekani

Huku Utawalwa wa Trump ukiimarisha juhudi za kuwagundua na kuwatimua wahamiaji haramu, jamii ya Waafrika nchini Marekani ina wasiwasi, ikihofia kulengwa.