Jinsi vikwazo vya mafuta vya Marekani vinavyoiumiza Urusi na Iran

Vikwazo hivyo vinalenga kuzuia usambazaji wa mafuta kwenda China – mteja mkuu wa mafuta ya Urusi na Iran. Ni vikwazo ambavyo vimesababisha uhaba wa mafuta duniani kote katika wiki za hivi karibuni na kusababisha bei ya mafuta kupanda.