Mawakala wa kuajiri ambao huwalaghai raia wa kigeni wanaoomba kufanya kazi katika sekta ya matunzo kwa wagonjwa, wazee na watu wasiojiweza ( ala maarufu -Care giver) nchini Uingereza wamefichuliwa katika video zilizochukuliwa kwa siri na BBC.
BBC News Swahili