Jinsi nilivyofichua uongo wa afisa mnyanyasaji wa shirika la ujasusi la Uingereza

Uongo wa kwanza wa shirika ulitokea wakati serikali ilipoipeleka BBC Mahakama Kuu mwaka 2022 ili kuzuia taarifa kuhusu mwanasiasa wa mrengo wa kulia anayefanya kazi kama afisa wa MI5.