Jinsi mchakato wa kuwarudisha mateka wa Israel nyumbani kutoka Gaza unavyofanyika

Kuachiliwa kwa mateka, kunatazamwa kote ulimwenguni, kumekuja baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo ya mvutano yenye lengo la kumaliza vita vilivyoanza tarehe 7 Oktoba 2023.