Ulikuwa ni wizi uliowashangaza watu kote duniani hususan wale wanaofuatilia kipindi cha maisha halisi cha televisheni cha kipindi Marekani wakati mshiriki wa kipindi hicho maarufu Kim Kardashian, alipoporwa vito vya thamani mjini Paris.
BBC News Swahili