Jinsi Biden alivyotia dosari utawala wake

Biden alikuwa na mafanikio yake – kuweka sheria za uwekezaji na miundombinu kupitia Bunge la Congress, kuimarisha na kuipanua Nato, na kuteua idadi kubwa ya majaji wenye asili tofauti – lakini hilo kwa sasa yamefunikwa.