Ingawa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alikusudia kupanua wigo wa vita vya utawala huo kusini mwa Lebanon ili kudhamini maslahi yake binafsi, lakini nguvu ya Hizbullah ya kuzuia mashambulizi na hasa kufanikiwa operesheni yake ya karibuni ya Arbaeen, ambayo imelenga vituo 11 vya kijeshi na kijasusi vya utawala wa Kizayuni, imempelekea kutafakari upya na kuhamishia uchokozi wake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kwa sasa.
Related Posts
#HABARI: Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dokta Alex Malasusa, amesema ipo haja ya viongozi wa kidini na…
#HABARI: Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dokta Alex Malasusa, amesema ipo haja ya viongozi wa kidini…
#HABARI: Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dokta Alex Malasusa, amesema ipo haja ya viongozi wa kidini…
Israel yashambulia kwa mabomu makazi ya wakimbizi wa Kipalestina Gaza
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza. Post…
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza. Post…
Trump na J.D Vance: Je ni kwanini nchi za Ulaya zinahofia kuingia mamlakani kwa wawili hawa?
Chanzo cha picha, LEON NEAL/GETTY IMAGES 18 Julai 2024 Na Jess Parker and James Waterhouse Kutoka Berlin and Kyiv Je…
Chanzo cha picha, LEON NEAL/GETTY IMAGES 18 Julai 2024 Na Jess Parker and James Waterhouse Kutoka Berlin and Kyiv Je…