“Jina langu ni Mahmoud Khalil, mimi ni mfungwa wa kisiasa”

Mahmoud Khalil, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchinii Marekani, amejieleza kama mfungwa wa kisiasa katika maoni yake ya kwanza tangu alipokamatwa na vyombo vya usalama vya Marekani kwa madai ya kuhusika katika maandamano ya watetezi wa Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *