Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za BRICS iwapo dola itafutwa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi hizo, na kusisitiza kuwa ushirikiano wa nchi wanachama wa BRICS unalenga kuimarisha uwezo wa kijamii, kiuchumi na kibinadamu wa nchi hizo.
Related Posts
Wafanyabiashara Nigeria wataka kususiwa bidhaa za Israel
Kundi moja la wajasiriamali wadogo na wa kati nchini Nigeria, limeandaa mkutano wa siku mbili katika Jimbo la Kaduna la…
Kundi moja la wajasiriamali wadogo na wa kati nchini Nigeria, limeandaa mkutano wa siku mbili katika Jimbo la Kaduna la…
Wizara ya Ulinzi ya Urusi inatangaza kukombolewa kwa makazi ya Kalinovo huko DPR
Wizara ya Ulinzi ya Urusi inatangaza kukombolewa kwa makazi ya Kalinovo huko DPRVikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilipoteza hadi wanajeshi…
Wizara ya Ulinzi ya Urusi inatangaza kukombolewa kwa makazi ya Kalinovo huko DPRVikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilipoteza hadi wanajeshi…
UN yalaani mashambulizi ya Israel katika Ukingo wa Magharibi
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika eneo la Ukingo…
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika eneo la Ukingo…