Jibu la msingi la Iran kwa hatua haramu ya Marekani mkabala wa Iraq; Araqchi aikosoa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu dhamira ya nchi hii kwa Iraq ili kutoa ushirikiano kwa ajili ya kukomesha hatua za Marekani zilizo kinyume cha sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *