Jibu la Iran kwa matamshi ya kiuhasama na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani

Katika ujumbe wake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilijibu matamshi ya kiuhasam na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani, Donald Trump.