Jibu la Iran kwa barua ya Trump/ Araqchi: Mazungumzo chini ya mashinikizo hayana maana

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Iran amesisitiza kwamba mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa nchi hiyo hayana maana maadamu sera ya “shinikizo la juu” na vitisho vya kijeshi bado vipo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *