Jibu la HAMAS kwa Trump: Quds na Msikiti wa al-Aqswa ni mstari wetuu mwekundu

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hakuna mpango wowote wa kuwaondoa kwa lazima wananchi wa Palestina utakaokubaliwa.