Jeshi limechukua udhibiti kamili wa mji wa Khartoum, kiongozi wa kijeshi wa Sudan asema

Kiongozi wa kijeshi wa Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, ametembelea ikulu ya rais mjini Khartoum, baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji huo, saa chache baada ya kutekwa tena na jeshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *