Mashambulizi ya Boko Haram yanaongezeka nchini Nigeria huku nchi hiyo ikikabiliana na vitisho vingi vya usalama. Licha ya kuwepo kwa wanajeshi katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi, wakazi wanaishi kwa hofu ya ni lini shambulio lijalo lingetokea.
BBC News Swahili