Jeshi la Wanamaji la IRGC: Tutatoa jibu kali kwa tishio lolote

Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: “Kikosi hiki, kinategemea uwezo wa kielimu wa wataalamu wa ndani, na leo hii kina uwezo wa kutoa jibu madhubuti na kali kwa tishio lolote.”