Jeshi la Tanzania lathibitisha kuuwa askari wake wawili DRC, Rwanda yakaribisha kujadiliwa mzozo

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza kuwa, wanajeshi wake wawili ni miongoni mwa askari wa 20 wa kulinda amani waliouawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.