Jeshi la Sudan: Tunakaribia kudhibiti tena Khartoum

Jeshi la Sudan: Tunakaribia kudhibiti tena Khartoum

Jeshi la Sudan lilisema jana Jumanne kwamba, vikosi vyake vinakaribia “kusafisha kabisa” Jimbo la Khartoum toka mikononi mwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *