Jeshi la Sudan: Raia wasiopungua 62 wameuawa katika shambulio la RSF jimboni Darfur

Jeshi la Sudan leo Alhamisi limetangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 62 wameuawa katika shambulio la makombora la wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa al Fasher ambao ni makao makuu ya jimbo la Darfur ya Kaskazini, magharibi mwa Sudan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *