Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa Jimbo la Khartoum limekombolewa kikamilifu na kwamba wapiganaji wote wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wamefukuzwa mjini humo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Khartoum imekuwa bila ya wanamgambo wa RSF kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili.
Related Posts
‘Wanajeshi wa Ukraine wameondoka’ – KGB
‘Wanajeshi wa Ukraine wameondoka’ – KGBMkuu wa huduma ya usalama ya Belarusi anasema Kiev imeondoa vikosi iliyokuwa imekusanya kwenye mpaka…

Maiti 58 wapatikana katika hospitali ya Libya ya wanamgambo wa SSA
Takriban miili 58 ya watu ambao hawajulikani, ilipatikana jana Jumatatu katika hospitali moja mjini Tripoli iliyokuwa inadhibitiwa na wanamgambo wa…

Putin atoa maoni yake kuhusu jaribio la uvamizi la Mkoa wa Kursk
Putin atoa maoni yake kuhusu jaribio la uvamizi la Mkoa wa KurskKiev imekuwa ikiwashambulia raia kiholela, rais wa Urusi amesema…