Jeshi la Sudan lasonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri

Jeshi la Sudan limetangaza kuwa linaendelea kusonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri ulioko kaskazini mwake, na kutwaa udhibiti wa vitongoji kadhaa.