Jeshi la Sudan lakomboa mji mpya, latangaza mafanikio dhidi ya waasi wa RSF

Jeshi la Sudan limekomboa mji mwingine kusini mwa Sudan siku ya Jumapili, ikiwa ni mafanikio mapya katika mapambano dhidi ya kundi la waasi wa kundi la RSF.