Jeshi la Somalia limewauwa magaidi 47 wa al-Shabaab katika mashambulizi mawili tofauti leo Alkhamisi, likiwemo lile la Aadan Yabaal katika eneo la Shabelle ya Kati, mji wa kimkakati uliotwaliwa na kundi hilo la kigaidi lenye mfungamano na al-Qaeda jana.
Related Posts
Hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen; kukariri mkakati ulioshindwa kufua dafu mbele ya Ansarullah
Donald Trump, ambaye aliingia madarakani kwa ahadi ya kuleta suluhu na amani na kuhitimisha vita kadhaa wa kadhaa vilivyoanzishwa na…
Donald Trump, ambaye aliingia madarakani kwa ahadi ya kuleta suluhu na amani na kuhitimisha vita kadhaa wa kadhaa vilivyoanzishwa na…
Vipi Canada na Mexico zimeingia katika vita vya kibiashara na Marekani?
Baada ya Rais Donald Trump kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya Canada na Mexico kwa kuweka ushuru wa 25% kwa…
Baada ya Rais Donald Trump kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya Canada na Mexico kwa kuweka ushuru wa 25% kwa…
UN: Mapambano dhidi ya ugaidi barani Afrika yaheshimu haki za binadamu
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mapambano ya kukabiliana kikamilifu na ugaidi barani Afrika yanapaswa kuhusisha uvumbuzi…
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mapambano ya kukabiliana kikamilifu na ugaidi barani Afrika yanapaswa kuhusisha uvumbuzi…