Jeshi la Somalia laua magaidi 82 wa al-Shabaab

Jeshi la Anga la Somalia kwa ushirikiano na Shirika la Taifa la Usalama (NISA) limeangamiza magaidi 82 wa kundi la  al-Shabaab katika mashambulizi ya anga katika eneo la Lower Shabelle.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *