Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua zaidi ya magaidi 80 wa al-Shabaab, wakiwemo vinara waandamizi wa kundi hilo, katika operesheni za wiki nzima dhidi ya kundi hilo lenye mafungamano na mtandao wa kigaidi al-Qaeda.
Related Posts
Uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Maziwa Makuu
Huku vikosi vya waasi wa M23 vikiendelea kusonga mbele katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kumeongeza hatari ya kutokea vita…
Iran kushiriki kwa ngazi ya juu katika mazishi za Shahidi Nasrallah
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema Iran itashiriki kwa ngazi ya juu katika mazishi…
Waziri Mkuu wa Greenland amjibu Trump: Marekani haitakipata kisiwa hiki
Waziri Mkuu wa Greenland amejibu matamshi ya Rais wa Marekani aliyedai kwamba Washington inataka kukidhibiti kisiwa hicho kikubwa cha ncha…