Jeshi la Msumbiji: Uasi katika mkoa wenye utajiri wa gesi wa Cabo Delgado umemalizika

Jeshi la Msumbiji limetangaza kuwa limedhibiti kambi za mwisho za mafunzo zilizokuwa zikitumiwa na waasi katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado, ikiwa ni ishara ya kile maafisa wa jeshi hilo wanakitaja kuwa ni kumalizika kwa uasi wa miaka mingi katika eneo hilo lenye utajiri wa maliasi ya gesi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *