Jeshi la Kizayuni lavamia nyumba kwa nyumba Ukingo wa Magharibi, lawakamata Wapalestina 200

Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya uvamizi wa nyumba kwa nyumba katika mji wa Palestina wa Azzun, mashariki mwa Qalqilya kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika wimbi jipya la ushadidishaji hujuma na mashambulio katika eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *