Jeshi la Jadi wilayani Shinyanga, maarufu kama Sungusungu limekuwa nguzo muhimu katika kuzuia na kupunguza uhalifu ndani ya jamii, ikiwemo kurejesha maadili kwa vijana, kujenga na kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo yao.
Hayo yameelezwa katika maadhimisho ya miaka 43 tangu kuanzishwa kwake, ikiwa ni sehemu ya tafakari ya mchango wake kwa jamii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi