Jeshi la Israel latekeleza ‘Uvamiaji wa Kina Kabisa’ katika Ardhi ya Syria

Katika hali ya kuzidisha mgogoro kwa kiwango kikubwa, vikosi vya nchi kavu vya utawala haramu wa Israel vimefanya uvamizi wa “kina kabisa” hadi sasa katika eneo la Syria, vikilenga maeneo katika mikoa ya kusini-magharibi ya Quneitra na Dara’a.