Jeshi la Israel lamuua Msemaji wa HAMAS katika muendelezo wa mauaji ya kimbari Ghaza

Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Abdel-Latif al-Qanoua, katika shambulio la usiku wa manane wa kuamkia leo lililolenga eneo la Jabalia kaskazini, katika Ukanda wa Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *