Jeshi la Israel laanza kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya upanuzi wa operesheni zake Gaza

Jeshi la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili “kuimarisha na kupanua” operesheni zake huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *