Jeshi la Iran laanza awamu ya pili ya luteka ya ulinzi wa anga ya ‘Eqtedar 1403’ kusini magharibi ya nchi

Jeshi la Iran limeanza awamu ya pili ya mazoezi ya ulinzi wa anga ya “Eqtedar 1403”, yanayolenga kulinda anga ya taifa sambamba na juhudi za kuimarisha zaidi uwezo wa ulinzi wa nchi.