Jeshi katili la Israel laua Wapalestina zaidi ya 200 ndani ya saa 48 Ukanda wa Gaza

Katika kipindi cha saa 48 zilizopita, jeshi la Israel limeua zaidi ya Wapalestina 200 na kuwalazimisha zaidi ya watu 300,000 kuyakimbia makazi yao kutoka Ukanda wa Gaza Kaskazini kuelekea Mji wa Gaza. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Habari ya Gaza iliyotolewa Jumamosi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *